THE LUTHERAN RADIO CENTRE

 

 ANNOUNCEMENTS:

 

 

 

AFYA NA HUDUMA

Kipindi hiki husikika siku ya alhamis kuanzia saa kumi na mbili na nusu jioni hadi saa moja kamili usiku (06:30-07:00)

Lengo la kipindi hiki:

  1. Kuelimisha wasikilizaji juu ya magonjwa mbalimbali yanayosumbua jamii yetu.
  2. Kufahamu magonjwa yanashambulia jamii na nanama ya kujinga nayo pia kupata tiba sahihi endapo umeshapa magonjwa hayo.

 

 

 Announcement 1

 

 Announcement 2
Important Links:    ELCT   LRC Mirror site Tansania   LRC ELCT LRC Backupserver   LWF   RADIO UPENDO DAR   RADIO FURAHA   TWR   Habari Maalum
                                    All Rights Reserved 2019