THE LUTHERAN RADIO CENTRE

 

 ANNOUNCEMENTS:

 

 

 
-

BADILISHA KUPITIA MAOMBI

Kipindi hiki husikika mara mbili kwa mwezi, Jumamosi ya ya pili ya kil mwezi na Jumamosi ya mwisho ya kila mwezi mubashara(Live), kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa nane mchana (09:00-:02:00).

Lengo la kipindi hiki:

  • Kufundisha Mtu mmoja mmoja namna ya kuomba, familia kuomba na kanisa kuomba bila kutegemea maombi ya watumishi wa Mungu tu.
  • Mafundisho ya Neno la Mungu na kuombea wagonjwa na wenye mahitaji mbalimbali.
  • Kuombea Taifa letu kwa ujumla hasa kiuchumi , hali ya hewa na mengi.

Huduma hii inaongozwa na Mtumishi Ezra John na Tumishi Mkilindi.

 

 

 Announcement 1

 

 Announcement 2
Important Links:    ELCT   LRC Mirror site Tansania   LRC ELCT LRC Backupserver   LWF   RADIO UPENDO DAR   RADIO FURAHA   TWR   Habari Maalum
                                    All Rights Reserved 2019