THE LUTHERAN RADIO CENTRE

 

 ANNOUNCEMENTS:

 

 

 

CHAGUO LA MSIKILIZAJI


Hii ni Sauti ya Injili FM Sterio


Kipindi cha Chaguo la msikilizaji, kinakupa nafasi msikilizaji wetu kuchagua wimbo uupendao, wimbo unaweza kuwa wa kwaya au mwimbaji binafsi.


 

 

 

 

 

KIPINDI CHA CHAGUO LA MSIKILIZAJI KINARUSHWA HEWANI KUPITIA REDIO SAUTI YA INJILI SIKU YA JUMANNE KUANZIA SAA NANE MCHANA HADI SAA TISA KAMILI ALASIRI NA SIKU YA JUMAMOSI KUANZIA SAA NANE KAMILI HADI SAA TISA ALASIRI

Listenerís choice is the program that gives opportunity to our listenerís to choose song they desire.

* LENGO LETU*

NI KUWA KARIBU NA WASIKILIZAJI WETU NA KUWABURUDISHA KWA NYIMBO WAZIPENDAZO.

Hii ni Sauti ya Injili FM Sterio

KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA    Building a People of Power through the Teaching of the Word of Faith.

If you want to contact us, here is the e-mail address: redio@elct.org

 

 

 Announcement 1

 

 Announcement 2
Important Links:    ELCT   LRC Mirror site Tansania   LRC ELCT LRC Backupserver   LWF   RADIO UPENDO DAR   RADIO FURAHA   TWR   Habari Maalum
                                    All Rights Reserved 2014