THE LUTHERAN RADIO CENTRE

 

 ANNOUNCEMENTS:

 

 

 
PROCLAIMING JESUS CHRIST INTO HIS WORLD


width="300"

DIRA YA LEO

Kipindi hiki husikika kila siku ya Jumatatu hadi Jumamosi kuanzia saa mbili kamili usiku hadi saa mbili na dakika arobaini na tano usiku(08:00-08:45) na kurudiwa kila siku Jumatatu hadi Jumapili saa 6:30 hadi saa 6:50 asubuhi.

Lengo la kipindi hiki:

  1. kuhabarisha jamii kuhusu matukio mbalimbali yanatokea katika mitaa,kijiji wilaya mikoa na Taifa kwa ujumla bila kusahau habari za kimataifa
  2. kutoa habari za kina kuhusu siasa,Afya,kilimo,Mazingira Technologia na mambo mbalimbali yanahusu jamii.
  3. Habari za Biashara na Uchumi pia habari za Michezo na Burudani.

Flowers in Chania

 

 

 Announcement 1

 

 Announcement 2
Important Links:    ELCT   LRC Mirror site Tansania   LRC ELCT LRC Backupserver   LWF   RADIO UPENDO DAR   RADIO FURAHA   TWR   Habari Maalum
                                    All Rights Reserved 2019