THE LUTHERAN RADIO CENTRE

 

 ANNOUNCEMENTS:

 

 

 
PROCLAIMING JESUS CHRIST INTO HIS WORLD

NEWS(HABARI)

TAIWAN 'INAJIANDAA KWA VITA BILA KUTAFUTA VITA'

Wakati Mick Miners, mkulima katika eneo la New South Wales, Australia, alipoona kwa mara ya kwanza kitu kikubwa cheusi kikiwa ardhini katika sehemu ya mbali ya shamba lake, alifikiri ulikuwa mti mfu.

Lakini kwa ukaguzi wa karibu - na uhakiki kutoka kwa wataalam - aligundua kuwa kilianguka kutoka angani.

Shirika la Anga za Juu la Australia (ASA) baadaye lilisema lilitoka kwa kibonge cha SpaceX. Jeshi la Taiwan linasema China inatumia mazoezi ambayo hayajawahi kushuhudiwa kujaribu kubadilisha hali ilivyo kutumia mazoezi hayo.

"Hatutafuti kuzidisha mzozo huu, lakini hatulegezi kamba linapokuja suala la usalama na uhuru," wizara ya ulinzi ilisema kwenye Twitter .

Katika taarifa tofauti, wizara ya ulinzi ilisema "itazingatia kanuni ya kujiandaa kwa vita bila kutafuta vita", na itaepuka kusababisha mgogoro.

Siku ya Alhamisi, wizara ya mambo ya nje pia iliitaka jumuiya ya kimataifa kuitaka China kusitisha shughuli za kijeshi.

Kamandi ya Kijeshi ya Mashariki ya Jeshi la Ukombozi la Watu wa China (PLA) ilisema kwamba ilifanya mashambulizi ya masafa marefu katika maeneo maalum ya mashariki mwa Mlango wa bahari wa Taiwan karibu 13:00 saa za ndani (05:00 GMT).

Mashambulizi hayo, sehemu ya mazoezi yaliyopangwa, ilipata "matokeo yaliyotarajiwa", ilisema.

Mazoezi makubwa zaidi ya kijeshi ya China katika bahari karibu na Taiwan yanafuatia ziara ya mwanasiasa wa Marekani Nancy Pelosi.

Pelosi, mwanasiasa mkuu zaidi wa Marekani kuzuru Taiwan katika miaka 25, alifanya safari kama sehemu ya ziara kubwa ya Asia.

Uchina ilipinga vikali safari hiyo na kuitaja kuwa ni ukiukaji wa uhuru wake kwa sababu inadai kisiwa hicho kinachojitawala kama eneo lake na imeapa kukiunganisha na bara, kwa nguvu ikiwa itabidi.

Beijing ilikuwa imeonya juu ya athari mbaya ikiwa Pelosi angezuru Tawain.

Baadaye ilitangaza kile ilichokiita "mazoezi ya kijeshi ya lazima na ya haki" katika bahari karibu na Taiwan na wizara yake ya ulinzi imekiri kwamba baadhi ya mazoezi yanaweza kuingia katika maji ya eneo la Taiwan.

 

 

 Announcement 1

 

 Announcement 2
Important Links:    ELCT   LRC Mirror site Tansania   LRC ELCT LRC Backupserver   LWF   RADIO UPENDO DAR   RADIO FURAHA   TWR   Habari Maalum
                                    All Rights Reserved 2019