THE LUTHERAN RADIO CENTRE

 

 ANNOUNCEMENTS:

 

 

 
PROCLAIMING JESUS CHRIST INTO HIS WORLD


Flowers in Chania Flowers in Chania

FAHAMU HAKI ZAKO

Kipindi hiki husikika kila siku ya Jumapili saa nane na nusu hadi saa tisa na kamili alsiri (2:30-3:00).

Lengo la kipindi hiki:

  1. Kutoa elimu kwa wasikilizaji kuhusu haki mbalimbali za binadamu.
  2. Kufahamu haki zako na sheria halali zilizomo kwenye jamii na Taifa kwa ujumla.
  3. Kuelimisha juu ya masuala mbalimbali ya kisheria ndani ya Kijiji, wilaya, Mkoa na Taifa.

Neno La Mungu linasema nini kuhusu haki:
Methali 14:34:-Haki huinua taifa; Bali dhambi ni aibu ya watu wote.

Flowers in Chania Flowers in Chania

 

 

 Announcement 1

 

 Announcement 2
Important Links:    ELCT   LRC Mirror site Tansania   LRC ELCT LRC Backupserver   LWF   RADIO UPENDO DAR   RADIO FURAHA   TWR   Habari Maalum
                                    All Rights Reserved 2019