THE LUTHERAN RADIO CENTRE

 

 ANNOUNCEMENTS:

 

 

 

HABA NA HABA

Kipindi hiki husikika siku ya Jumatatu kuanzia saa tatu kamili usiku hadi saa tatu na nusu usiku (09:00-09:30)
Haba na Haba, makala ya utawala bora kwa kusikia mifano ya mafanikio na changamoto zake.

Lengo la kipindi hiki:

Ni Kipindi ambacho kinatoa nafasi ya wananchi wa Tanzania kuzungumzia matatizo yao na viongozi kutoa majibu na ni cha Idhaa ya Kiswahili ya BBC kwa kushirikiana na redio washirika Tanzania.
Redio Sauti ya Injili Moshi ikiwa ni mojawapo ya Redio washirika wa Idhaa ya Kiswahili ya BBC.

Msikilizaji wetu Usikose kusikiliza kipindi hiki cha HABA NA BABA kila Jumatatu saa tatu kamili usiku, ili kusikia viongozi wakitoa majibu ya maswali ya changamoto zilizoko katika eneo unaloishi.

 

 

 Announcement 1

 

 Announcement 2
Important Links:    ELCT   LRC Mirror site Tansania   LRC ELCT LRC Backupserver   LWF   RADIO UPENDO DAR   RADIO FURAHA   TWR   Habari Maalum
                                    All Rights Reserved 2019