Kipindi hiki husikika siku ya Jumapili saa kumi na mbili na nusu hadi saa moja usiku(12:30-01:00).
Lengo la kipindi hiki:
- Kuelimisha vijana jinsi ya kujikwamua kimaisha.
- Kutoa Elimu kwa vijana kukabiliana na changamoto wanazokutana nazo katika Maisha .

