THE LUTHERAN RADIO CENTRE

 

 ANNOUNCEMENTS:

 

 

 

IJUE KKKT

Kipindi hiki husikika siku ya Jumanne kuanzia saa tisa alasiri hadi saa tisa na nusu alasiri (03:00-03:30).

Lengo la kipindi hiki:

  1. Kufundisha Neno la Mungu ili wasikilizaji wetu wamfahamu Yesu Kristo na kupata uzima wa milele.
  2. Kufahamu KKKT imejengwa juu ya msingi wa YESU KRISTO, Kanisa linaongozwa na Neno la Mungu(Biblia ya Kikristo), na limeimarishwa katika sakramenti.
  3. Kuwaelimishwa wasikilizaji wetu yanayofanywa na kanisa hili hasa huduma kwa jamii zikiwepo shule na Hospital zinazosimamiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT)

 

 

 Announcement 1

 

 Announcement 2
Important Links:    ELCT   LRC Mirror site Tansania   LRC ELCT LRC Backupserver   LWF   RADIO UPENDO DAR   RADIO FURAHA   TWR   Habari Maalum
                                    All Rights Reserved 2019