THE LUTHERAN RADIO CENTRE

 

 ANNOUNCEMENTS:

 

 

 

KESHA NA REDIO

Hii ni Sauti ya Injili FM Sterio


KESHA NA REDIO ni kipindi kinachotufundisha kukesha kama Agizo la Bwana Yesu kristo kwa wanafunzi wake: KESHENI MUOMBE MSIJE MKAINGIA MAJARIBUNI .

KESHA NA REDIO KINAKUJIA KILA SIKU YA ALHAMISI KUANZIA SAA TANO NA NUSU USIKU MPAKA IJUMAA ASUBUHI SAA KUMI NA MBILI KASORO ROBO (5:30-11:45).

Kukesha na Kuomba kunatusaidia tusiingie majaribuni.

* LENGO LETU *

Kuwainua watu wengi kuomba wenyewe kwa muda mrefu na kuwafungua walio fungwa na vifungo mbalimbali kama vile magonjwa,umaskini,kukataliwa pia kujifunza neno la Mungu. .

Hii ni Sauti ya Injili FM Sterio

Kwa maombi na Ushauri wa Kiroho wasiliana na Mtumishi kwa simu No: 0754518757

 

 

 Announcement 1

 

 Announcement 2
Important Links:    ELCT   LRC Mirror site Tansania   LRC ELCT LRC Backupserver   LWF   RADIO UPENDO DAR   RADIO FURAHA   TWR   Habari Maalum
                                    All Rights Reserved 2014