THE LUTHERAN RADIO CENTRE

 

 ANNOUNCEMENTS:

 

 

 
Mchungaji Benjamen Bukuku

KWELI ITAKUWEKA HURU

Kipindi hiki husikika kila siku ya Jumatano saa tatu na nusu usiku hadi saa nne na nusu usiku(9:30-10:30).

Ni saa nzima ya mafundisho ya neno la Mungu ambayo huandaliwa kwa umakini mkubwa na Mchungaji Benjamen Bukuku wa kanisa la Amani

Mchungaji Bukuku ni mchungaji kiongozi wa kanisa la Amani lililopo soweto hapa Mkoani Kilimanjaro,pia ni mwanzilishi wa Huduma ya KWELI ITAKUWEKA HURU

Huduma hii ya redio ilianza mwaka 2004 July na imekuwa baraka kubwa kwa wasikilizaji pote redio inaposikika.

Flowers in Chania Flowers in Chania

 

 

 Announcement 1

 

 Announcement 2
Important Links:    ELCT   LRC Mirror site Tansania   LRC ELCT LRC Backupserver   LWF   RADIO UPENDO DAR   RADIO FURAHA   TWR   Habari Maalum
                                    All Rights Reserved 2019