THE LUTHERAN RADIO CENTRE

 

 ANNOUNCEMENTS:

 

 

 

MILA NA DESTURI ZA MAASAI

Kipindi hiki husikika siku Jumatano saa kumi na mbili na nusu jioni hadi saa moja kamili usiku(6:30-7:00)

LENGO LA KIPINDI HIKI

  1. Kuelewa mila na desturi za kimaasai.
  2. Kuelimisha jamii ya kimaasai kuhusu baadhi ya mila na desturi za Kimasai zilizopitwa na wakati, hivyo kama jamii, inapaswa kuachana nazo.
  3. kutuelimisha madhara ya mila zinazowakandamiza wanawake hasa kukeketwa na ndoa za utotoni.

If we see a topic needs to get involved more deeply it will get more attention.

Je hii moja wapo ya mila na tamaduni kwa rika kwa kabila la Maasai?

Leo tunaongea na Lucas Laiser Maasai kutoka Bomang'ombe, ambaye ni msikilisaji wa siku nyingi wa Radio Sauti Ya Injili.

 

Tentative program subjects:

Progam No.: Airdate: Topic:
1 31.10.2018 Introduction into the program    
         
2 7.11.2018 Mila za Maasai -1    
  9.11.2018 Repetition    
3 14.11.2018 Mila kuhusu Tohara na Athari zake -1    
  16.11.2018 Repetition    
4 21.11.2018 Mila kuhusu Tohara na Athari zake -2    
  23.11.2018 Repetition    
5 28.11.2018 Umuhimu wa Elimu    
  30.11.2018 Repetition    
6 5.12.2018 Mifugo na athari za Mazingira    
  7.12.2018 Repetition    
7 12.12.2018 Maana ya Rika kwa Maasai    
  .12.2018 Repetition    
8 19.12.2018 Uchaguzi wa Kiongozi wa Mila    
  21.12.2018 Repetition    
9 26.12.2018 Wake wengi na Ukristo    
  28.12.2018 Repetition    
10 2.1.2019 Ndoa za utotoni    
  4.12.2018 Repetition    
11 9.1.2019 Afya ya mama na mtoto    
  11.12.2018 Repetition    
12 16.1.2019 Nafasi ya mwanamke ktk jamii ya Maasai    
  18.12.2018 Repetition    
13 23.1.2019 Maswali na Majibu Mchg.Joshua Laizer -1    
  25.12.2018 Repetition  
14 30.1.2019 Maswali na Majibu Mchg.Joshua Laizer -1    

 

 

 Announcement 1

 

 Announcement 2
Important Links:    ELCT   LRC Mirror site Tansania   LRC ELCT LRC Backupserver   LWF   RADIO UPENDO DAR   RADIO FURAHA   TWR   Habari Maalum
                                    All Rights Reserved 2019