THE LUTHERAN RADIO CENTRE

 

 ANNOUNCEMENTS:

 

 

 
PROCLAIMING JESUS CHRIST INTO HIS WORLD


Flowers in Chania

IJUE THAMANI YA NDOA NA FAMILIA YAKO

Kipindi hiki husikika kila siku ya Jumatatu saa nne mpaka saa tano usiku(10:00-11:00) na kurudiwa siku ya Ijumaa saa tatu mpaka saa nne usiku(9:00-10:00).
Mafundisho haya ya Ndoa yanaletwa kwenu na Mtumishi wa Mungu Mchungaji Mathias Mushi na mke wake Jessie Mushi.

    Lengo la mafundisho haya ni:
  1. Kuimarisha ndoa na familia
  2. Kuwatia moyo vijana na watoto watamani kuandaa maisha ya kufikia ndoa na familia nzuri bila majuto.
  3. Kurekebisha maeneo yote yaliyoharibika ndani ya ndoa na familia kupitia neno la Mungu tu.
Flowers in Chania
Mch Mathias Mushi na Mkewe Jessie Mushi

Soma:

Mwanzo 1:28 - 31Mungu akawabarikia, Mungu akawaambia, Zaeni, mkaongezeke, mkaijaze nchi, na kuitiisha; mkatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na kila kiumbe chenye uhai kiendacho juu ya nchi.
1Korintho 7:2-5 2 Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe. 3 Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.
Ebrania 13:4 Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.

Soma kitabu hiki kupata majibu zaidi:

Flowers in Chania

 

 

 Announcement 1

 

 Announcement 2
Important Links:    ELCT   LRC Mirror site Tansania   LRC ELCT LRC Backupserver   LWF   RADIO UPENDO DAR   RADIO FURAHA   TWR   Habari Maalum
                                    All Rights Reserved 2019