THE LUTHERAN RADIO CENTRE

 

 ANNOUNCEMENTS:

 

 

 

MAISHA YA UFUGAJI

Kipindi hiki husikika siku ya alhamis kuanzia saa moja na nusu hadi saa mbili kamili usiku (07:30-08:00)

Lengo la kipindi hiki:

  1. Kueleimisha wafugaji namna ya kufuga kibiashara kwa faida.
  2. Kuelimisha juu ya magonjwa ya mifugo na namna ya kukabiliana nayo ili kuepukana na vifo vya mifugo yetu na kuzalisha mifugo yenye afya.
  3. Kutoa Elimu na mbinu za kufuga kisasa ili ziwasaidie wasikilizaji wetu kutambua ufugaji ulio bora na kujikwamua katika Umaskini.

 

 

 Announcement 1

 

 Announcement 2
Important Links:    ELCT   LRC Mirror site Tansania   LRC ELCT LRC Backupserver   LWF   RADIO UPENDO DAR   RADIO FURAHA   TWR   Habari Maalum
                                    All Rights Reserved 2019