THE LUTHERAN RADIO CENTRE

 

 ANNOUNCEMENTS:

 

 

 

MALANGO YA MAPAMBAZUKO

Kipindi cha Malango ya Mapambazuko ni maalum kwa ajili kuomba mmoja mmoja, kimebeba kusudi kubwa la kuombea inchi ya Tanzania na Ulimwengu mzima.
Kipindi hiki husikika kila siku ya Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili,kuanzia saa saba usiku hadi saa kumi na mbili kasorobo asubuhi (01:00-05:45).

LENGO LA KIPINDI HIKI:

  1. Kufanya Toba kwa ajili ya Nchi ili Ufalme wa Mungu uenee na kuikomboa ardhi ya nchi ya Tanzania.
  2. Kufanya Toba kwa ajili ya Familia, Elimu, Uchumi na Mazingira.
  3. Kufanya msikilizaji wetu popote alipo kuwa na Mzigo wa kuomba kwa mahitaji yake, pia kuwaombea na wengine wanye shida mbalimbali.
  4. Kusoma na kujifunza Neno la Mungu na kuwaombea Wasikilizaji wenye mahitaji mbalimbali.

Msimamizi wa kipindi hiki ni Mtumishi wa Mungu Ezra John.
Kwa mahitaji ya maombi wasiliana na Mtumishi kwa simu Namba: 0754518757 au 0658528757.


 

 

 Announcement 1

 

 Announcement 2
Important Links:    ELCT   LRC Mirror site Tansania   LRC ELCT LRC Backupserver   LWF   RADIO UPENDO DAR   RADIO FURAHA   TWR   Habari Maalum
                                    All Rights Reserved 2019