THE LUTHERAN RADIO CENTRE

 

 ANNOUNCEMENTS:

 

 

 

MSANII WETU

Kipindi hiki husikika kila siku ya Jumatano saa tisa kamili alasiri hadi saa tisa na nusu(3:00-3:30).

Lengo la kipindi hiki:

  1. Kuwapa waimbajiwa nyimbo za Injili nafasi ya kujitambulisha wao ni kina nani na nyimbo zao ni zipi.
  2. Kuburudisha na kusikiana neno la Mungu kupitia nyimbo za waimbaji hao.

Kipindi hiki huandaliwa na Mdiakonia Deo Mosha.

 

 

 Announcement 1

 

 Announcement 2
Important Links:    ELCT   LRC Mirror site Tansania   LRC ELCT LRC Backupserver   LWF   RADIO UPENDO DAR   RADIO FURAHA   TWR   Habari Maalum
                                    All Rights Reserved 2019