THE LUTHERAN RADIO CENTRE

 

 ANNOUNCEMENTS:

 

 

 

RADIO BIBLE

Kipindi hiki hisikika kila siku saa tano kamili za asubuhi hadi saa saa tano na robo asubuhi(11:00-11:15).

BIBLIA KWA NJIA YA REDIO

. . . in your language, in any situation read Bible!

Bible.jpg (8826 bytes)

This continous bible reading program is produced by

Trans World Radio.

Lengo la kipindi hiki:

  1. Kufundisha Neno la Mungu kwa njia ya Radio.
  2. Kufundisha wasikilizaji wetu Kumjua Yesu Kristo kuwa ndiye Mwokozi wa Ulimwengu.

Kipindi hiki Huwajia kwa Ushirikiano wa Chama Cha Biblia inchini Tanzania na Chama Cha Biblia inchini Kenya, na huwandaliwa na Trans World Radio Nairobi Kenya.

 

 

 Announcement 1

 

 Announcement 2
Important Links:    ELCT   LRC Mirror site Tansania   LRC ELCT LRC Backupserver   LWF   RADIO UPENDO DAR   RADIO FURAHA   TWR   Habari Maalum
                                    All Rights Reserved 2019