THE LUTHERAN RADIO CENTRE

 

 ANNOUNCEMENTS:

 

 

 

BIBLIA KWA NJIA YA REDIO

Kipindi hiki husikika kila siku saa tano kamili asubuhi hadi saa tano na robo asubuhi(11:00-11:15).

LENGO LA KIPINDI HIKI:

  1. Mafundisho ya Neno la Mungu kwa Njia ya Redio.
  2. Kufundisha Neno la Mungu kwa wasikilizaji wetu wa rika mbalimbali.

Kipindi hiki huandaliwa na TWR (Trans World Radio) kutoka Nairobi Kenya kwa kushirikiana na Chama cha Biblia nchini Kenya na Chama cha Biblia nchini Tanzania.

 

 

 Announcement 1

 

 Announcement 2
Important Links:    ELCT   LRC Mirror site Tansania   LRC ELCT LRC Backupserver   LWF   RADIO UPENDO DAR   RADIO FURAHA   TWR   Habari Maalum
                                    All Rights Reserved 2019