THE LUTHERAN RADIO CENTRE

 

 ANNOUNCEMENTS:

 

 

 
PROCLAIMING JESUS CHRIST INTO HIS WORLD


Flowers in Chania
Pastor Olam Mustapha

SAA YA IMANI

Kipindi hiki husikika Jumatatu hadi Ijumaa saa kumi na nusu (04:30) hadi saa kumi na moja jioni(05:00).
Mafundisho haya ya Imani yanaletwa kwenu na Mchungaji Olam Mustaph kutoka kanisa la GloryLand Arusha.

Lengo la Kipindi hiki cha Saa ya IMANI.

 1. Kujua nini maana ya IMANI katika kristo.
  Waebrania 11:1
  Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
 2. Kujua chanzo cha Imani ya Kristo kuwa ni Neno la Mungu.
  Warumi 10:17
  Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.
 3. kufundisha Wakristo na mataifa yote kumwamini Yesu Kristo na kumpendeza Mungu kwa matendo.
  Yakobo 2:26
  Maana kama vile mwili pasipo roho umekufa, vivyo hivyo na imani pasipo matendo imekufa.
Flowers in Chania

 

 

 Announcement 1

 

 Announcement 2
Important Links:    ELCT   LRC Mirror site Tansania   LRC ELCT LRC Backupserver   LWF   RADIO UPENDO DAR   RADIO FURAHA   TWR   Habari Maalum
                                    All Rights Reserved 2019