THE LUTHERAN RADIO CENTRE

 

 ANNOUNCEMENTS:

 

 

 

SAA YA UJASIRI KATIKA CHRISTO

Kipindi hiki husikika siku ya Jumatatu kuanzia saa nane kamili hadi saa tisa za alsiri(02:00-03:00)
Ni kipindi cha Mafundisho ya neno la Mungu ambayo yanaletwa kwenu na Mtumshi wa Mungu Eliya Mkilindi.

Lengo la kipindi hiki:

  1. mafundisho ya neno la Mungu ili watu wa mjue Christo na kutubu Dhambi.
  2. Kuombea Taifa letu hasa viongozi wetu, Uchumi na hali ya hewa.
  3. Kuombea mahitaji Mabalimbali ya wasikilizaji wetu popote walipo.

 

 

 Announcement 1

 

 Announcement 2
Important Links:    ELCT   LRC Mirror site Tansania   LRC ELCT LRC Backupserver   LWF   RADIO UPENDO DAR   RADIO FURAHA   TWR   Habari Maalum
                                    All Rights Reserved 2019