THE LUTHERAN RADIO CENTRE

 

 ANNOUNCEMENTS:

 

 

  PROCLAIMING JESUS CHRIST INTO HIS WORLD

SAA YA WATOTO

Kipindi hiki husikika kila Jumamaosi saa tano na nusu hadi saa sita mchana.(11:30-12:00)

LENGO LA KIPINDI HIKI:

  1. kuwaelimisha watoto mambo ya kiroho, kielimu na kijamii.
  2. kuzitazama changamoto ambazo wanakutana nazo watoto pamoja na kuzitatua.
  3. Kuwaandaa watoto kujiamini katika kujieleza nakujibu maswali mbele za wenzao.

Msimamizi wa kipindi hiki ni Grace Munuo.

 

 

 Announcement 1

 

 Announcement 2
Important Links:    ELCT   LRC Mirror site Tansania   LRC ELCT LRC Backupserver   LWF   RADIO UPENDO DAR   RADIO FURAHA   TWR   Habari Maalum
                                    All Rights Reserved 2019