THE LUTHERAN RADIO CENTRE

 

 ANNOUNCEMENTS:

 

 

 
PROCLAIMING JESUS CHRIST INTO HIS WORLD Flowers in Chania Flowers in Chania

TATIZO LANGU


Hiki ni kipindi maalum kinachompa fursa mpenzi msikilizaji kutuma maswali ya kibiblia, kiroho, kifamilia au kijamii yanayomsumbua, na kuweza kujibiwa na Mwinjilisti Douglas T Mmari wa Hope Ministries Tanzania.

Kila Jumanne ya mwisho wa mwezi, hufanyika maombezi maalum ya kuombea mahitaji mbalimbali ambayo wasikilizaji wetu huyatuma kupitia namaba ya simu iliyotajwa hapo chini.

Nawe unakaribishwa kutuma maswali yako,shuhuda, mapendekezo, mahitaji ya kuombea kupitia namba za kipindi hiki.

Kipindi hiki kinarushwa kila siku ya Jumanne saa moja ma nusu hadi saa mbili kamili usiku (7.30-8.00) na marudio yake ni siku ya Ijumaa kuanzia saa nane na nusu mchana hadi saa tisa alsiri( 2.30-3.00).

Lengo la kipindi hiki:

  1. Kuelimisha jamii kupitia maswali yanayo ulizwa na wasikilizaji wetu,kutatua tatizo linamkabili msikilizaji wetu hasa la Kiroho, kifamilia au la kijamii.
  2. Kuombea wasikilizaji wetu wenye shida mbalimbali kama magonjwa,kupata kazi na mahitaji mbalimbali yanayotumwa na wasikilizaji wetu.

Kuwasiliana nasi Andika Barua kupitia anwani hii:
Tatizo Langu, S.L.P. 777, Moshi. Tanzania Email: douglas@homita.org Simu: 0710018740

Flowers in Chania
Mwinjilisti Douglas na Upendo MMari

 

 

 Announcement 1

 

 Announcement 2
Important Links:    ELCT   LRC Mirror site Tansania   LRC ELCT LRC Backupserver   LWF   RADIO UPENDO DAR   RADIO FURAHA   TWR   Habari Maalum
                                    All Rights Reserved 2019