

Kipindi hiki husikika siku ya Jumamosi saa moja kamili usiku hadi saa moja na nusu usiku.(07:00-07:30).
Lengo la Kipindi hiki:
kuongeza ufahamu kwa umma juu ya umuhimu wa viwanda katika kupambana na umaskini nchini Tanzania kama moja ya msisitizo ulioanzishwa na serikali ya Awamu ya tano inayoongozwa na Rais John Magufuli.
Msimamizi wa Kipindi ni Mtanagazaji Lidya Kishia.

