THE LUTHERAN RADIO CENTRE

 

 ANNOUNCEMENTS:

 

 

  PROCLAIMING JESUS CHRIST INTO HIS WORLD

WANAWAKE WA MATUMAINI

Kipindi hiki husikika kila Jumamaosi saa tano na nusu hadi saa sita mchana.(11:30-12:00)

LENGO LA KIPINDI HIKI:

  1. kuzungumza mambo yanayowahusu wanawake , kuwatiana moyo, kufundishana mambo ya kijamii na kiroho .
  2. kuzungumza na wanawame ambao wamefanikiwa kimaisha,ili kuelimisha wengine mbinu au njia za kufanya ili kufanikiwa kimaisha .
  3. Kuelimisha wanawake jinsi ya kuanzisha biashara ndogo ndogo ili kujikwamua kimaisha.

Msimamizi wa kipindi hiki ni Grace Munuo.

 

 

 Announcement 1

 

 Announcement 2
Important Links:    ELCT   LRC Mirror site Tansania   LRC ELCT LRC Backupserver   LWF   RADIO UPENDO DAR   RADIO FURAHA   TWR   Habari Maalum
                                    All Rights Reserved 2019