THE LUTHERAN RADIO CENTRE

 

 ANNOUNCEMENTS:

 

 

 

PROCLAIMING JESUS CHRIST INTO HIS WORLD

WAZEE NI HAZINA

MUDA WA KIPINDI.

Kipindi ni cha Nusu saa, na kinaruka hewani kila siku ya Jumamosi na Jumapili saa tisa kamili alasiri hadi saa tisa na nusu(3:00-3:30).

LENGO LA KIPINDI HIKI.

  1. Kuzungumzia matatizo ya Wazee na njia za kuyatatua.
  2. Kujadili namna ya kuwatumia Wazee katika Jamii.
  3. Kuwawezesha wasikilizaji kufahamu mambo yanayowahusu Wazee na kuwatunza kwani ni hazina ya Jamii.

MADA ZA KUZUNGUMZA

  1. Historia ya baadhi ya Wazee na Maisha na maisha yao.
  2. Mazungumzo kati ya Vijana na Wazee kuhusu tofauti zao.
  3. Mazungumzo ya vikundi kujadili mada mbalimbali kuhusu Wazee.
  4. Mahojiano kulenga mada zinazowahusu Wazee.
  5. Kuzungumza na Wataalamu juu ya Wazee.

MAONO YA KIPINDI

Kuboresha kipindi kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya wasikilizaji.
Kipindi kinagharimu fedha nyingi, hivyo tunatafuta mhisani wa kipindi hiki ilikiwe bora zaidi.

elct.jpg (3412 bytes) KANISA LA KIINJILI LA KILUTHERI TANZANIA                       Evangelical Lutheran Church in Tanzania

 

 

 Announcement 1

 

 Announcement 2
Important Links:    ELCT   LRC Mirror site Tansania   LRC ELCT LRC Backupserver   LWF   RADIO UPENDO DAR   RADIO FURAHA   TWR   Habari Maalum
                                    All Rights Reserved 2013