| Tunamaga Askofu Dr. | Gideon Maghina |
![]() Sala inaongozwa na Ezra Ngari
Mkurugenzi ya Sauti ya Injili
Sasa tumekaribishawa kwa chakula!
Hightable: Mama - Mtoto - Baba Askofu
Wachukuu ya Baba Askofu
Temba, Zawadi, Debora, Barnaba
Suzan, Mama Urima
Hellen na Grace
Baba Askofu anapokea zawadi ya Kituo
Baba Askofu anashukuru Usherikiano
Mkurugenzi Philemon Fihavango anamaga Baba Askofu |
Jumamosi tarehe 26 mwezi wa September tumemaga Baba Askofu Dr. Gideon Maghina. Ezra Nyari amehubiri katika sala fupi. Halafu tumepata chakula kizuri. |