Mkutano |
Wachungaji wote Dodoma 2016 |
![]()
Kanisa Kuu la Kiluteri Dodoma
Maaskofu wanasubiri maandamano ya Wachungaji wafike eneo la ibada
Mkuu KKKT anawapokea wachungaji
Wote wanaingia mahali ya Ibada
Maaskofu wakiwa madhabahuni
Kwaya
Mkuu wa Kanisa anahubiri juu ya upendo wa mkristo. Anatuomba kufunga macho na kufikiri tunamchukia nani na ametushauri jinsi tunavyoweza kuwapenda hata maadui zetu. |
![]()
Wachungaji zaidi ya 2000 wanamsikiliza
Baba Askofu Dr. Owdenburg Mdegella anaongoza kwaya ya Wachungaji 2000
Wote wamepewa chakula cha mchana baada ya ibada. |